College 14
Kiingilio chako cha uraia wa British.

Tunatoa masomo yote, ujuzi, Shahada ambazo zinazohitajika na Afisi ya Uhamiaji kwa wale watakao pendelea kuomba yafuatayo:
Uraia nchini Ungereza.
Ruhusa ya kubaki Ungereza kwa muda usio na mwisho.( ILR)
Viza ya mke/mume.
Viza ya vitega uchumi.
Viza ya biashara.
Viza ya kuengezewa muda ya uanafunzi.
Viza ya kuongezewa muda ya ruhusa ya Kazi.

UKBA/Mtihani wa Kiingereza uliopitishwa na Chuo Kikuu.
Kozi za ESOL zinatoa ujuzi wa maisha.
Diploma ya ESOL ya kimataifa (A1,A2,B1,B2,C1 and C2).

Shahada zetu zinakubalika na Afisi ya Uhamiaji.
Ni bure kurejea mtihani mpaka upasi.
Masomo huanza kila wiki.
Unaahidiwa malipo ya chini kabisa.
Taratibu na masharti hutumika.